Uwezo wa Yanga CAFCL ni mdogo sana inabidi wajipange vyema

Uwezo wa Yanga CAFCL ni mdogo sana inabidi wajipange vyema

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Hii timu ipo vizuri sana kwa ligi ya NBC, wana makelele na tambo nyingi sana kitaifa, ila wakiingia kimataifa wanakuwa mdebwedo.

1701681709553.jpg
 
Yanga ndio timu pekee ambayo ina kazi ya kufurahisha mashabiki wake na mashabiki wa 5imba
Na katika hili, wanastahili pongezi. Maana Yanga amecheza mechi 2, ana pointi 1 na wadogo zake simba wamecheza mechi 2, wana pointi 2!

Cha kushangaza mashabiki wengi wa simba wanaiona Yanga kama vibonde wa kundi! Na wakati zimebakia mechi 4! Na mbaya zaidi tofauti kati ya simba na Yanga ni pointi 1 tu!! Kimsingi wote hali yao siyo nzuri mpaka sasa.

Imagine mechi ijayo simba inakutana ugenini na Wydad, iliyopoteza mechi 2 mfululizo!! Kwa akili zao za kimbumbumbu wanafikiri huo mchezo utakuwa ni mwepesi tu kwao.

Time will tell. Na zile kelele zao za kumkataa Mangungu zitaanza muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom