Uwezo wangu wa kufikiri unapungua kila kukicha

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Nina umri wa 29, sijaoa bado. Wadau,naona kila kukicha nashindwa kufikiri,pia uwezo wangu wa kaz unapungua. Hata kuongea naona kaz kwel! Nashndwa hata kuweka nyumba yangu safi kama kjana.. Nashangaa naongea hata bila mtiririko maalum. Je,nitumie dawa gan?
 

Simple. Acha punyeto!..akili nyingi unazitumia kuwaza na kumtengeneZa mwanamke na mwisho unapiga bao kwa kumuwaZA tu mtu asiye halisia. Unaichosha akili na utachoka kufanya kila kitu
 
Una matatizo ya kisaikolojia nenda kwa councillor mweleze atajua akushauri vipi uzuri unsjitambua haupo sawa, usipotatua tatizo mapema hata kujitambua kutapotea.. NB kama kuna uwezekano oa.
 

Hapo ndio tunapokosea, baada ya kumpa ushauri akakutane na madaktari, unasema anahitaji maombi!


Mkuu hizi ndo athari za manabii wa uongo, wakati RC wakijitahidi kuimarisha huduma za afya na kuajiri madaktari kwa ajili ya kazi hiyo kuna manabii wanagawa maji yanatibu karibu magonjwa yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…