Wamajanga
Senior Member
- Jun 24, 2014
- 133
- 47
Ni hivi nina umri wa miaka 23 lakini uzito wangu ni kilogram 86 uwiano wake ni mkubwa kupita na naogopa usije kuniletea madhara
Na nilikuwa nakuombeni mnitajie vyakula vya kuacha ili nipungue mwili mana mazoezi nashindwa kwa sababu nipo bize sana
Msaada wenu jamani unatakiwa
Na nilikuwa nakuombeni mnitajie vyakula vya kuacha ili nipungue mwili mana mazoezi nashindwa kwa sababu nipo bize sana
Msaada wenu jamani unatakiwa