Wewe bado unakua kwahiyo ni muhimu kula vyakula vya aina zote yaani vyenye protein na carbohydrate pia ila zingatia kupunguza junk food yaani chipsi, snacks nk ambavyo haviongezi kitu mwilini mwako
Mazoezi ni muhimu sio lazima kwenda gym hata kutembea ni zoezi zuri kwako
Sijajua unapendelea vyakula gani hasa ila kwa mji huu watu walio busy chakula chao kikuu ni chipsi
Mimi sio mtaalamu nimejaribu tu kusema kulingana na uelewa wangu wa kati
NB: Achana na 'junk food' hasa chipsi na vitu vingine kwenye hilo kjndi