Uwoga umetengeneza unafiki nchi hii(uchawa na kujipendekeza)

Uwoga umetengeneza unafiki nchi hii(uchawa na kujipendekeza)

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kuna steji imefika au ni matokeo ya uwoga uliopo nchi hii sijui umetengenezwa na muendelezo wa watawala.
Ukiangalia matendo yaliyopo kwenye kuuliza ukweli au makosa ni kama wewe ndio umekuwa kosa,kuanzia kwenye utendaji mpaka wananchi wenyewe.

Uwoga ulitengenezwa nchi hii umepata bidhaa mpya ya unafiki asilimia kubwa wana JF nyie ni mashaidi kila kukicha mkishuhudia kila rangi zinazokuja.

Bado kuna safari kubwa ili watu waweze kujiamini wao kama nani nchi hii
 
Back
Top Bottom