Uwongo wa mwaka 2017,njoo tukutane sema uwongo uliovunja rekodi 2017

Eng Mose

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Posts
242
Reaction score
322
Wadau, embu tuseme uwongo uliovunja rekodi mwaka huu 2017.. Mimi naanza na hizi
1. Tanzania imeagiza kifaa ambacho kikipita karibu na nyumba yenye dawa za kulevya inapiga kelele
2. Tumeokota vichwa vya Treni bandarini
Tutiririke
 
Baada ya miezi miwili watumishi wataongezewa mishahara na kupandishwa madaraja.
 
Hostel za anko Mag zimejengwa kwa gharama ya Tsh billion 10

Nyufa za hostel za anko Mag kuitwa expansion joint

Tatizo la ajira kupungua nchini

Kuhama Chama ili kuunga mkono juhudi za rais
 
Serikali itapewa bilioni 192 USD kitokana na acacia kukwepa kodi mpaka leo tunafunga mwaka hata mia haijalipwa
 
- Laptop kwa kila mwalimu

- Waliomwadhibu Lisu hawajulikani.

- Expansion joint
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…