Uwongo wa mwaka 2017,njoo tukutane sema uwongo uliovunja rekodi 2017

Ukiwa na vyerehani vitatu, hiyo ni sawa na kiwanda [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Camera za eneo alilo shambuliwa Lissu, zzimeondolewa kwasababu za kiusalama
 
Wadau, embu tuseme uwongo uliovunja rekodi mwaka huu 2017.. Mimi naanza na hizi
1. Tanzania imeagiza kifaa ambacho kikipita karibu na nyumba yenye dawa za kulevya inapiga kelele
2. Tumeokota vichwa vya Treni bandarini
Tutiririke
Demu wangu alinuambia kua kuna rafiki yake ametoka safari kafikia guest kwa hiyo amemuomba akamsuke nywele za sikukuu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Wadau, embu tuseme uwongo uliovunja rekodi mwaka huu 2017.. Mimi naanza na hizi
1. Tanzania imeagiza kifaa ambacho kikipita karibu na nyumba yenye dawa za kulevya inapiga kelele
2. Tumeokota vichwa vya Treni bandarini
Tutiririke
Msema Ukweli ndiye mchochezi kwa siku hizi!!!
 
Hahhhahhhhaa mm nilipenda kuona vichwa vilivyotuama kutokea baharini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…