Uwoya afunguka mazito kuhusu Marehemu Ndikumana na Dogo Janja

Uwoya afunguka mazito kuhusu Marehemu Ndikumana na Dogo Janja

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Irene Uwoya atoa povu zito mara baada ya kuulizwa kwa nini huwa hapendi kuwashukuru wala kuwakumbuka wapenzi wake haswa marehemu Ndikumana kwa maana hata huyo mtoto wake Krrish asingempata bila ya kuwa na Ndikumana .

Mpaka hapa inaonesha Irene ameumizwa kimapenzi sana na wanaume haswa wale aliowapenda kutoka moyoni ndio maana huwachukia sana .

Irene kipindi anaolewa na Ndikumana wengi walimshangaa sana kutokana na Ndikumana alivyo wengi walikuwa wanamponda Ndiku kwamba ana sura mbaya sana na pia yupo rafu rafu sana yani hajijali muonekano wake lakini Irene aliwajibu kwamba yeye anachoangalia ni shuguli ya kitandani tu hayo mengine wala hajali.

Suala hili lilijurudia pia mpaka kwa Dogo Janja wengi walihoji utofauti wa umri uliyopo kati yao pamoja na uwezo mdogo wa kifedha aliokuwa nao dogo Janja lakini Irene alimkingia kifua Dogo Janja na kusema alichompendea Dogo Janja anakijua mwenyewe hataki aingiliwe kwenye mapenzi yake mpaka wakawa na ugomvi mkubwa na mama yake mzazi na baadhi ya ndugu zake ambao waliamua mpaka kususia ndoa yake na dogo janja.


Sema chanzo kikubwa cha mgogoro inasemekana dogo janja anamla yeye wkati huo huo anamla na Wema Sepetu jambo ambalo limemkera sana na kwa wakati tofauti tofauti alikuwa anamuuliza janjaro lakini janjaro alikuwa anajifanya hajui chochote ndio maana Irene siku hizi hata akipost kitu lazima aandike acha unafiki uende mbinguni akimkusudia dogo janja aache kuwa mnafiki, mlaghai na muongo muongo.
20181218_015224.jpeg
 
Majibu yapo kwenye story yako mkuu.

Halafu mtoto wa kiume kupoteza time na hizi habari za kidaku sio poa wala nini.. Nenda nazo mdogo mdogo sio kuzikomalia namna hiyo. Unafeli mzee!
Na wewe ungekuwa hupendi udaku tusingekuona hapa.
 
Back
Top Bottom