Uwoya afunguka mazito kuhusu Marehemu Ndikumana na Dogo Janja

Irene uwoya nadhani anaupenda mchezo huu kuliko ndoa yenyewe,au mashine kubwa nazo hupwaya kwake?
 
Dah! Afadhali sasa ntapata usingizi, hii habari ni muhimu sana, nilikuwa naisubiri tangu asubuhi.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Majibu yapo kwenye story yako mkuu.

Halafu mtoto wa kiume kupoteza time na hizi habari za kidaku sio poa wala nini.. Nenda nazo mdogo mdogo sio kuzikomalia namna hiyo. Unafeli mzee!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…