Uwoya alia lia kulipa ada ya Dola 8,000

ada ya usd 8000 ya nini? Ya mwanae IST? au Braeburn?
 
Tatizo anapenda Sana showoff na ndo mana dogo janja alisanuka mapema akamkacha daaaaaah so sad
 
Ebu atakae elewa kinacho jadiliwa hapa naomba anifanyie wepesi, maana nashindwa hata kuelewa mnajadili kitu gani kwenye huu uzi wallahi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…