Uwoya na Keisha kwenye siasa, kulikoni?

Lussadam

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2007
Posts
1,341
Reaction score
907
Habari wadau. Wasanii Irene Uwoya na Keisha katika kumbukumbu zangu walikuwa wanasubiri kuingia bungeni kupitia viti maalumu. Majina yametoka lakini hakuna majina yao! Ni nini kimejili? Au kuna vigezo havijazingatiwa??? Mwenye kujua atujuze
 
Mind your own business dwag!
 
Attachments

  • 1446978794817.jpg
    21.6 KB · Views: 2,218
Waliwekwa kwa ajili ya kumfanyia kampeni magufuli.. uchaguzi umeisha wametupwa kwenye dust bin
 
Mind your own business dwag!

Nimeomba mwenye kujua atujuze. Wewe hujui,kaa kimya. Ndo maana mnafeli mitihani kwa kutokusoma instructions. Narudia tena mwenye kujua atujuze.kama hujui piga kimya nigga
 
Nimeomba mwenye kujua atujuze. Wewe hujui,kaa kimya. Ndo maana mnafeli mitihani kwa kutokusoma instructions. Narudia tena mwenye kujua atujuze.kama hujui piga kimya nigga

Sawa mkuu siku ingine ntakuwa nasoma maelekezo kama huyu jamaa ila narudia tena 'mind your own business'
 
Attachments

  • 1446979422246.jpg
    26 KB · Views: 1,862
Sawa mkuu siku ingine ntakuwa nasoma maelekezo kama huyu jamaa ila narudia tena 'mind your own business'

Mind your own business na uko una comment post za wenzako, ungemund ur own business kwanza kwa kutoingia hata Jf; u are officially fu..ed
 
Sasa unachouliza unataka ukifanyie nini? Utaenda kuweka pingamizi au!?
 
Mind your own business na uko una comment post za wenzako, ungemund ur own business kwanza kwa kutoingia hata Jf; u are officially fu..ed

Kwahiyo ukitukana mtu ndio siku yako inakuwa poa au!? Yaani kuna maneno watu wakiyajua ni kero tupu
 
CCM ina Wenyewe kina Riz1,Makamba jr,Khalfan n.k
 
Uteuzi wa wabunge wa viti maalumu unategemea na uwiano wa asilimia za kura za uraisi wa chama husika ilizopata jatika uchaguzi..
Huwa vyama husika hufanya uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu lakini mwisho wa siku inategemea wamepata asilimia ngapi ktk viti vya uraisi ili kujua watapa wabunge wangapi ktk viti maalumu
CCM imechagua wabunge wake wa viti maalumu kutoakana na asilimiawaliyopata so wao wenyewe wanaangalia yupi na apewena yupi asipewe kwa vigezo walivyonavyo ndani ya CCM yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…