Uwoya,Shamsa,Aunt Ezekiel,Zari sio wao ni stress zinawasumbua

Stress au matangazo ya biashara au vyote? Nadhani ni vyote! Kadiri wanavyofumuka wasichana wadogo kiumri, wenye maumbo na sura nzuri ndivyo biashara na stress zinavyoongezeka kwa hawa wakongwe!
 
Huo mstari wa mwisho hawawezi kamwe
 
ayo yanaondelea kwa hao wadada yanaitwa mapinduzi makubwa ya filamu
 

Mbona mdomo wake mnene- lips nene. Kama shape ya lips inaendana na shape ya ... hii yaonekana nzuri.
 
You are very correct! Umri ukienda wanaingiwa na kiwewe.

Hivi kuwa na umri mkubwa Ni kubaya??

Yaani huwa nawashangaa Sana watu wanafikiri ujana ndio kila kitu....ukiwa na umri mdogo wewe ndio unaishi....wakati mwenye umri mkubwa ndio kala chumvi nyingi na anatakiwa kupongezwa kwa kufika umri huo.

Vijana acheni mindset za kipumbavu
 
Englishlady ungejua mawazo yako naya-support 100% wala usingenichamba namna hii! Mimi sikumaanisha kuwa umri mkubwa ni kitu kibaya au mtu hana haki ya kuishi kwa furaha. Mazungumzo yalikuwa kuhusu maisha wanayoishi hawa ''walimbwende'' kwenye social media. Wengi wanaishi kwa kutegemea ruzuku kutoka kwa wanaume kitu ambacho ni kibaya sana, at least kwangu, kwani wanaume wanaofanya uhusiano nao wengi wanatumia fedha kupata wanachotamani na umri wa binti ukishaenda anawekwa pembeni wale machipukizi wanachukuwa nafasi yake. Hii inasabisha waanze kufanya au kupost vitu vya ajabu ajabu kwa sababu ya stress!
 
hakuna maisha magumu kama yale ya baada ya kuachwa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…