UWT Ilala wapiga marufuku chama cha Chawa wa Mama

UWT Ilala wapiga marufuku chama cha Chawa wa Mama

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Fukuto huko ndani ya chama chao.

Kila mtu anaona amezidiwa katika level ya uchaww Kwa kuwa chawa wa mama wako hoti imeelezwa kuwa wanakwapua nafasi nyingi za uteuzi na nyazifa mbali mbali kuliko vyama rasmi vya chama hiko.

Hapa chini kwenye clip sikiliza Kalipio hilo inayosambaa mitandaoni.

 
Fukuto huko ndani ya chama chao.

Kila mtu anaona amezidiwa katika level yanuchawa
Kwa kuwa chawa wa mama wako hoti imeelezwa kuwa wanakwapua nafasi nyingi za uteuzi na nyazifa mbali mbali kuliko vyama rasmi vya chama hiko.

Hapa chini kwenye clip sikiliza Kalipio hilo inayosambaa mitandaoni.
View attachment 2709490
Chawa wa mama wameonywa vikali wasithubutu Ilala 😅😅😅
 
Chama ndani ya chama kivuli cha machawa wa Mama.

Jumuiya halali za CCM zinazotambulikana ni UVCCM, UWT, WAZAZI, BAKW...TA, ...
Ngoja tusubiri Chawa Wenyewe watakavyojibu mapigo
 
Back
Top Bottom