Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Umoja wa Wanawake UWT Wilayani Masasi Mkoani Mtwara wamefanya kongamano la kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dr. Samia Suluhu Hassani kwa kuteuliwa na mkutano mkuu maalumu uliofanyika jijini Dodoma kuwa mgombea wa urais mwaka 2025 ambapo wameahidi kumchagua ili ishinde kwa kishindo.