Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Mufindi umeiomba Jamii kuwa na mioyo ya upendo na huruma kwa waishio katika mazingira magumu kwenye maeneo wanayoishi.
Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa (UWT) Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Bi.Marcelina Mkini wakati wa maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuwatembelea Watoto wanaolelewa katika kituo cha Jerusalem kata ya Changalawe.
Bi.Mkini alisema CCM tunaadhimisha kwa furaha, upendo na amani ili hali kuna Watoto wanaishi kwa kubahatisha huku wakiwa hawajui kesho yao.
Ndugu zangu Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Mufindi tuna kila sababu ya kuambiana ukweli badala ya kuone huruma sisi kwa sisi ni vizuri tukawaonea hawa huruma." Alisema Bi.Mkini.
Aidha Mwenyekiti huyo wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Mufindi Bi.Mkini aliendelea kuiomba Jamii kuamini kuwa hakuna awaye yeyote anayependa kuishi katika mazingira magumu bali kuna mambo.
Na: Fredrick Siwale -Mufindi.