UWT wapongeza ushindi wa JK kinamna.............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya mchoro kutoka kwa Angela Kairuki, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kwa niaba ya akinamama wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), wakati wa hafla ya kumpongeza kwa ushindi mkubwa uliomwezesha kurejea madarakani baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 31 mwaka huu. Hafla hiyo iliyohudhuriwa pia na mke wa Rais, Mama Salma Kikwete ilifanyika kwenye viwanja vya Biafra, Kinondoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida)
 
Huyu Angela Kairuki ni ndugu na Mbelwa Kairuki ambaye amechukua nafasi ya Januari Makamba? Kama ndivyo basi hakufanya kazi bure
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…