PreGE2025 UWT wilaya ya biharamulo yampa zawadi ya saa maalumu mbunge wa biharamulo kwa uwakilishi wake uliotukuka 2020-2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Jumuiya ya umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi wilaya ya biharamulo imempa tuzo ya uwakilishi bora uliotukuka mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa kama ishara ya kukubali kazi kubwa aliyoifanya jimboni biharamulo tangu ashinde ubunge.

Saa maalum yenye picha yake ni ishara kubwa kwa kazi kubwa aliyoifanya katika miradi mbalimbali jimboni na kuijali jumuiya hiyo :
Miradi ya maji,afya,elimu, miundombinu, gari la msaada jimboni, michango kwa vikundi mbalimbali, mawasiliano na michango yake isiyoyumba bungeni imekuwa chachu cha kukimbia kwa maendeleo katika jimbo la biharamulo.

Tangu kupata uhuru mbunge Chiwelesa anaokuwa mbunge wa mfano na kupigiwa mfano kwa kuiinua biharamulo.

UWT wilaya imemtaja Chiwelesa kama mbunge wa mfano wa kuigwa tangu utawala wa kikoloni kuondoka, kwa sasa biharamulo inamiradi kila kona na yeye amekuwa chachu kwa ufatiliji na usimamizi wa miradi hiyo kwa muda wote .

Biharamulo inamuhitaji sana Eng Ezra Chiwelesa

AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDI
 
Siku hizi mnapeana mpaka tuzo utazani mpoa grammy
 
Trump kampa Elon Musk zawadi ya ufunguo wa dhahabu

Kilichofuatia sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wanasiasa wa mwaka huu ni vichekesho hzo tuzo wanaziandaa wao wenyewe Kisha wanawaandaa machawa wakaiaminishe jamii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ