Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Msaada Kwenye TUTA WanaJF, Sasa hivi tuna muda mrefu tokea tuanze kuona maghorofa na yard za magari zikiota kama uyoga, Jamani nisadieni vipato vya watanzania ndo vimepanda??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada Kwenye TUTA WanaJF, Sasa hivi tuna muda mrefu tokea tuanze kuona maghorofa na yard za magari zikiota kama uyoga, Jamani nisadieni vipato vya watanzania ndo vimepanda??
Na kampuni za tours.....nadhani wenye vipato haramu wanajaribu kuvijustify....imagine yard yenye gari 100 inathamani gani kama gari ina average Tshs 10/=...
Unajua hapa nina wasiwasi na hela chafu zilizoingizwa kwenye mzunguko, Zamani watu walikuwa wanaweka hela bank but after BOT kuwa inichungulia Account za watu, watu wameshutuka hawaweki hela bank instead hizo hela chafu zinaiingia kwenye mzunguko na kuaribu uchumi, I think hii ni impact ya hela chafu zilizoibwa kipindi cha nyuma.
Spot on...by the way umeona lile tangazo la kamishna wa madini jana kwenye magazeti yetu?....wazungu wemelizwa sana na hili genge la pale Billionaires Pub...ndio wenye hizo tours na yards ati.....wanalipwa Dubai halafu wananunua magari lukuki kule na wanapata exemptions pale TIC kama wawekezaji...
hayo ndio maendeleo yanayotakiwa kufanyika !
Uwiano wa kupanda kwa uchumi wetu na maisha ya wengi wetu haviko sawa; najiuliza kama ni sahihi kutujaziam magari kwenye yadi ama kutuletea matrekta na vitu vingine muhimu; kun haja ya kurudisha regulations kwenye baadhi ya vitu; ni mtazamo wangu tu!