Wadau naomba kujuzwa juu ya utaratibu wa kununua hisa za kampuni ya jamii forum kama makampuni mengine ya mitandao ya kijamii mfn fb, twiter, skype nk, msaada tafadhali

sidhan kama niko sahihi sana, ila navojua mm ni kwmb ili uweze kununua hisa kampun ni lazima hyo kampun iwe imeorodheshwa kwenye soko la hisa (DSE), Jamii forum.haijaorodheshwa DSE mkuu