Uzalendo kama huu, sio rahisi kuupata popote hapa Afrika, majirani ipendeni nchi yenu

Uzalendo kama huu, sio rahisi kuupata popote hapa Afrika, majirani ipendeni nchi yenu

MY TAKE: Wakati majirani wakipigana vikumbo kuiba pesa ya Corona ya mkopo toka kwa mabeberu, watanzania wanajitolea kulitangaza Taifa lao bure. Tofauti kati ya ubepari na ujamaa.
Basi ni nani huyo kw sasa aje ajichanganye awekeze tanzania kw moyo wake wote
 
Huyo mwenye bango pengine ni mgonjwa wa akili na sio mzalendo.
 
Hawataifishi mali za wawekezaji lkn[emoji23][emoji23]
Ccm wezi na waporoji ndio manake wawekezaji wanaogopa
Hahahaha, CCM inataifisha mali za wazungu na kununua meli na kujenga barabara na bwawa la Umeme, Jubilee inaiba pesa za Corona na kuwaacha raia wake wanakufa ovyo kwa Corona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunajenga Ikulu yetu sisi wenyewe Chamwino Dodoma
IMG_20200821_163135.jpg
IMG_20200821_163130.jpg
IMG_20200821_163122.jpg
IMG_20200821_163114.jpg
IMG_20200821_163100.jpg
 
Hahahaha, CCM inataifisha mali za wazungu na kununua meli na kujenga barabara na bwawa la Umeme, Jubilee inaiba pesa za Corona na kuwaacha raia wake wanakufa ovyo kwa Corona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlipima lini maiti[emoji23][emoji23]
 
Ukweli unatuweka huru.apo hamna vitu vya ku Google na udambwi dambwi wa kunogesha stori.
 
Back
Top Bottom