Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Timu zetu zikianza kufanya vizuri mashabiki wako, kila mtu anapenda burudani inayoridhisha moyo wake, sasa timu za ulaya huleta burudani hiyo. Ukifika wakati timu zetu zikafanya vizuri watu watazishabikia, na sio kwamba timu zetu hazina mashabiki, bali kuna kukatishana tamaa.
Hata nawe unashabikia maeneo hayo hayo na umekiacha "Kiswahili", japo sisemi ni kukosa uzalendo. Angalia status yako "EXAUD J. MAKYAO is Economist".
Mkuu Exaud,
post yangu ya mwanzo nimesema "na sio kwamba timu zetu hazina mashabiki, bali kuna kukatishana tamaa"....................... Hivyo kukua kwa kiwango, kutaongeza hamasa na ushabiki.