Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M

Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Duuuuh,

Naona vijana mnakaza kwelikweli, hatupumui,
Nikweli alichofanya Rais nikupunguza gharama sana,
kwenda na ndege binafsi gharama ni kubwa,

Hongera rais Samia, Karibu nyumbani
Huu ni ujinga ...presidential jet inatakiwa itumike pale rais anasafiri no matter the cost. Kuacha ndege defeats the purpose in the first place ya kuinunua.

Kuna njia nyingine nyingi sana za kuokoa hela za uma hii ya mafuta ya ndege kwa safari ya new york ni tone la maji baharini
 
#Tanzania kaziiendelee
 
Sawa kabisa
 
#Tanzania kaziiendelee
 
Kama Kuna mtu amemlaumu Mama hapa atakuwa kichaa
Mama ni muungwana sana kama Kuna kasoro yeyote Hata yeye ni mwanadamu
Ila kibinaadamu amekamilika.
Ingekuwa Mimi ningewasha Airbus kwani nini bhana maisha ndio haya haya
 
Kama Kuna mtu amemlaumu Mama hapa atakuwa kichaa
Mama ni muungwana sana kama Kuna kasoro yeyote Hata yeye ni mwanadamu
Ila kibinaadamu amekamilika.
Ingekuwa Mimi ningewasha Airbus kwani nini bhana maisha ndio haya haya
Hakika
 
Daaah kazi kubwa hii aise
 
Umechemka Hiyo ndege inapita barabara zipi mpaka ukajua hizo kilomita? Ndege inatumia nautical mile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…