Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M

Uzalendo sahihi
 
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
tTanzania kama speed ni hii basi mpaka 2030 huenda Tanzania ndio ikawa nchi yenye Uchumi mkubwa Africa,Tumwombe sana Mungu wetu katika hil
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Kakosea kuacha kwenda na ndege yetu. Ningekuwa mimi ningetinga na dege letu. Yaani linatua Swiss au Uk, then linaunga. Mambo ya kundandia wakati sisi si nchi masikini ni kujiendekeza. So kwangu hiyo siyo sifa.
Kwa madeni inayo daiwa atcl, ni nchi chache sana ambako ndege yenye nembo ya atcl sio 'wanted'! Ikitua tu inadakwa. Pambeni, kweli inabaki kweli.
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Embu tuambie kwa business class ama first class gharama ingekuwaje maana nahisi hamna aliyesafiri kwa economy class. Hata hivyo cha kutazama hapa siyo gharama zaidi ya taifa limepata tokana na safari hiyo. Kwa maoni angu kulikuwa na umuhimu mkubwa kwa rais wetu kuhudhuria huo mkutano baada ya miaka karibu sita ya Tanzania kuwa nje ya ramani ya kimataifa kidiplomasia.
 
Embu tuambie kwa business class ama first class gharama ingekuwaje maana nahisi hamna aliyesafiri kwa economy class. Hata hivyo cha kutazama hapa siyo gharama zaidi ya taifa limepata tokana na safari hiyo. Kwa maoni angu kulikuwa na umuhimu mkubwa kwa rais wetu kuhudhuria huo mkutano baada ya miaka karibu sita ya Tanzania kuwa nje ya ramani ya kimataifa kidiplomasia.
 
Hakika huyu Mama ni Mzalendo wa Vitendo kweli,

Yeye Safari zote nje anakwenda na Usafiri wa Umma,

Tumpongeze kwa aina hii Ya Uzalendo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…