mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Kweli nimeamin majina na tabia za watu hufananaUnataka watu wasahau kwani watasahau lini kutwa wanakumbushwa,
Mwandishi namsifu amekuja na utetezi wa hoja,
CCM sihami mpaka nakufa tunahazina kubwa,
Karibu Samia nitakuja airport kesho
Umewahi kukata group tickets kwenye mashirika ya ndege au unatomboka tu?Acheni pambio bei ya First class mtu moja sio chini ya USD 12,000 zidisha mara idadi ya watu aliyoenda nayo
Kwani marais waliokwenda pale hawana hizo video?Kwani huko New York kaenda kufanya nini ambacho alishimdwa kufanywa kwa video conferencing? Tuanzie hapo kwanza
Nimeuliza, na nauliza tena, ni kipi alichoenda kufanya huko ambacho hakingeweza kufanywa kwa video conferencing? Kwani kuuliza imekuwa wivu siku hizi?Kwani marais waliokwenda pale hawana hizo video?
Wivu wa kijinga huu.
Daah kwa hesabu za kiusafiri tu hapo kwa hao watu 50, tayari ameshafika zaidi ya 140m. Kuna wambea waliandika kuwa ameenda na watu kama 100 hivi, sasa sijui amejumlisha wanausalama na wafanyabiashara! Na jamaa amepiga hesabu ya economy class, sina hakika kama alisafiri hivyo, na hao wafanyabiashara kama walisafiri hivyo, baadhi ya senior staff waliokuwepo nao walisafiri economy?Napenda akili za kiwango hiki,
Nikweli gharama za kwenda na ndege NY nikubwa sana hata kama angeeda na watu 100,
Rais Samia ni aina nyingine ya Nyerere nakubaliana na hii hoja,
Mungu ampe afya na Maarifa zaidi,
Kwenda kuangalia zoo yake. .......JPM kiboko. Kuna wakati anaamuwaga kugawa Tausi wetu kwa majirani Mau Mau.Mtetezi wa wanyonge yeye alikuwa analirusha kila wiki kwenda Chato kwa raha zake.
Nani kakwambia wamepanda First Class?Acheni pambio bei ya First class mtu moja sio chini ya USD 12,000 zidisha mara idadi ya watu aliyoenda nayo
Good SamiaTanzania ya Samia ni noma,
Umeme bei Chee EAC
Petrol bei Chee EAC
Disel bei Chee EAC
M|taa bei Chee EAC
Data (MB) bei Chee EAC
Maji bei Chee EAC
Kwa akili yako Raisi anaweza kukaa economy kama wewe ?Nani kakwambia wamepanda First Class?
Yaani mtu aache ndege yake then apande First class??!!
sio kukata tu tena na kusafiri.Umewahi kukata group tickets kwenye mashirika ya ndege au unatomboka tu?
lilikuwa laabiria,Hilo dege alikodi au?
Kwa taarifa zilizopo alienda na watu zaidi ya 100. Kwa hiyo hakuna alichosave hapo. Rais wa Zambia kaenda na watu watatu tu.Wee Mataga umesahau kuweka namba ya simu,unaweza ukalamba teuzi kimzaha mzaa,endelea kuwa CHAWA.
Na Raisi wa Zambia H.H asemeje? angeenda na wasaidizi wake 3,alafu wewe unasema Raisi wetu ameenda na watu 50!
Mlinzi mmoja.Wee Mataga umesahau kuweka namba ya simu,unaweza ukalamba teuzi kimzaha mzaa,endelea kuwa CHAWA.
Na Raisi wa Zambia H.H asemeje? angeenda na wasaidizi wake 3,alafu wewe unasema Raisi wetu ameenda na watu 50!