Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M

Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_______
 
Mwandishi wewe ni hatari sana,

Nimefurahi kwakweli
 
Mkuu una uhakika Rais na delegates yake walikaa economy class?

Una uhakika nauli ya kwenda na kurudi kutoka Dar hadi New York ni hiyo uliyoandika hapo?Tena kwa kupitia Dubai maana hakuna direct flight Dar to New York.
Mbona kuna link hapo mimi nimeona zifungue
 
Duuuuh,

Naona vijana mnakaza kwelikweli, hatupumui,
Nikweli alichofanya Rais nikupunguza gharama sana,
kwenda na ndege binafsi gharama ni kubwa,

Hongera rais Samia, Karibu nyumbani
👇🏿👇🏿👇🏿


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Acha unafiki, Samia hana uzalendo wowote, CCM mzalendo alikuwa Nyerere pekee yake, wengine wote takataka tu.
Halafu hizo hesabu zako ni za mtu maskini wa kutupwa,hiyo Pesa mbona ni kidogo mno kwa Serikali?
Baada ya pesa hiyo kuacha kununua mafuta ya ndege,Bibi yako na ndugu zako kijijini wataanza kutibiwa bure? Na watasoma bure? Na wewe itakusaidia nini kiuchumi?
 
Wee Mataga umesahau kuweka namba ya simu,unaweza ukalamba teuzi kimzaha mzaa,endelea kuwa CHAWA.

Na Raisi wa Zambia H.H asemeje? angeenda na wasaidizi wake 3,alafu wewe unasema Raisi wetu ameenda na watu 50!
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Unamaanisha Mungu alifunga kabisa kuleta wazalendo Tanzania kisa nini?
 
Hi! Ndege ni kwa ajili ya biashara au matumizi ya Raisi.
Uchumi wetu unaruhusu hiyo ndege kukaa bila kazi ikisubiri Raisi asafiri tena kwa kupunguza gharama??
 
Kila lenye heri Mama Samia Suluhu Hassan
 
Daah kali Sana hii
 
B787-800 inaweza kwenda masaa 24,So inafika NEW YORK
 
Duuuh, Kwanini Mungu alete mzalendo mmoja tu chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…