Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M

Nzuri sana hii
 
fine
 
We proud
 
 
Samia kama Samia
 
 
Kaziiendelee
 
Sasa waza kama asingeenda kabisa huko New York, Samia angekuwa ameokoa shilingi ngapi?

Usipende kuwaza nusu nusu, waza kitu kizima kizima.
 
Wee Mataga umesahau kuweka namba ya simu,unaweza ukalamba teuzi kimzaha mzaa,endelea kuwa CHAWA.

Na Raisi wa Zambia H.H asemeje? angeenda na wasaidizi wake 3,alafu wewe unasema Raisi wetu ameenda na watu 50!
CHADOMO kwanini usiweke yako?
 
Ni kweli gharama zinapungua na uzuri kupungua hata ikiwa ni kidogo bado unasaidia nchi. Ila raisi hakai economy class kwenye ndege, labda wale 50 uliokadiria kusafiri naye. Kwa hivyo, kikawaida na usalama huwa cabin yote ya first class inachukuliwa na nchi na hamna mteja atakuwa na nafasi kwa safari hiyo. First class cabin ya Emirates boeing 777-300ER sawa na aliyopanda mh rais ina viti 8.
 
Bado gharama itakuwa chini tu
 
Bado gharama itakuwa chini tu
Sawa. Lakini savings ni ndogo. Definitely delegation ya Rais haiwezi kukaa Economy class kwa Usalama. Na kama alivyosema mchangiaji, mara nyingi the whole cabin ya business class ama ya first class (kama ipo kwenye ndege) huwa inachukuliwa. Kumbuza first class ni zaidi ya USD20K per person, na business class ni between $7k - 12K (depending on season na siku ya safari) per person. Na kama entire cabin ilikuwa reserved, ina maana viti vote kwenye hiyo cabin vinalipiwa. Ofcourse savings zipo, lakini siyo kwa mahesabu yaliyosemwa hapo awali. pengine nusu ya hiyo
 
Mama Kama Mama
 
JF-Expert
 
 
We love you Mama,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…