Nayaa Member Joined May 30, 2024 Posts 6 Reaction score 4 May 30, 2024 #1 Amini watanzania hatuna uzalendo kabisa na Nchi yetu. Viongozi wetu wanajali maslahi yao binafsi. Uzalendo hamna kabisa, umepewa ridhaa na wananchi lakini bado wanahali mbaya kimaisha hivi hamuoni aibu?
Amini watanzania hatuna uzalendo kabisa na Nchi yetu. Viongozi wetu wanajali maslahi yao binafsi. Uzalendo hamna kabisa, umepewa ridhaa na wananchi lakini bado wanahali mbaya kimaisha hivi hamuoni aibu?