Uzalendo ni bidhaa adimu Tanzania

Nayaa

Member
Joined
May 30, 2024
Posts
6
Reaction score
4
Amini watanzania hatuna uzalendo kabisa na Nchi yetu. Viongozi wetu wanajali maslahi yao binafsi.

Uzalendo hamna kabisa, umepewa ridhaa na wananchi lakini bado wanahali mbaya kimaisha hivi hamuoni aibu?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…