Uzalendo ni kusimamia maslahi ya Taifa

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Imefika wakati sasa, somo la uzalendo lifundishwe kwa undani zaidi ili kuweza kukomboa fikra za vijana. Vijana wengi leo hii wanadhani uzalendo ni kumtetea kiongozi wa nchi na ndio maana wanaanzisha hadi vyama vya kusifia.

Tupate fursa ya kufahamu kuhusu uzalendo.

 
Kwa tafsiti isiyo rasmi toka nchi ya Tangakiza na Zenjibia Uzalendo ni kuwa chawa wa kiongozi na kada wa chama Cha mboga mboga

"Wevi wanalindwa na mifumo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…