Uzalendo ni Ushujaa - ongezeni hili huko kwenye mitaala mashuleni

Uzalendo ni Ushujaa - ongezeni hili huko kwenye mitaala mashuleni

Tengeneza Njia

Senior Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
121
Reaction score
205
Enzi za shule za msingi miaka mingi iliyopita tulikuwa tunafundishwa nyimbo za taifa, historia na hata ukubwani kuaminishwa kuwa kuonyesha uzalendo wa taifa mtu anaweza kuvaa mavazi fulani yenye bendera ya nchi n.k.

Kitendo kilichofanywa na kijana Majaliwa katika ajali ya ndege ni kitendo cha kishujaa. Upendo na utu wa kurisk maisha yake na kwenda kuokoa watu ambao hata hawajui ni USHUJAA!

Wafundishwe vizazi hivi sasa huko mashuleni - hata kurekebisha mitaala ya masomo ya civics na maarifa ya jamii huko kayumba na kuongeza stori ya huyu kijana kama mfano bora zaidi wa kitendo cha ushujaa.

USHUJAA NI UZALENDO!
 
Waweke na gym shule watu wapige tizi. Siku ya ijumaa iwe ya mazoezi tu maana wanafunzi siku hizi wana vitambi
 
Back
Top Bottom