Uzalendo: Sugu aamua kuweka picha ya Shujaa Nelson Mandela ofisini kwake, hakutaka unafiki

Uzalendo: Sugu aamua kuweka picha ya Shujaa Nelson Mandela ofisini kwake, hakutaka unafiki

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huu ndio ushahidi wenyewe, Joseph Mbilinyi ambaye pia anajulikana kama Rais wa Mbeya, ameamua kukataa kuburuzwa na kuamua kumuenzi Nelson Mandela.

Niite_Jongwe_ERTUGRUL_..._%23FreeMbowe.jpg
 
Watu wa Mbeya wana viburi sana. Eti bora tumchague mkinga Sugu kuliko Mpesya.

Vijana wa dotcom mnamfahamu Mpesya?
 
Vitu vingine unavyo visifia vya kijinga ,sasa ofisi yake utampangia aweke nini. Kuna wengine wamebandika michoro ya wanyama, sasa hawa unawaweka kundi gani............
 
huyu jamaa hataki unafiki, amekata katakata kuweka picha ya Mbowe baada ya kuombwa mra kadhaa
 
Watu hamuishiwi maneno kipindi Sugu ni mbunge wana Mbeya tuliambiwa tuna tumekosea sana hatutapewa pesa za miradi au maendeleo kisa tumechagua upinzani now days tuko na tumetulia hatuoni tofauti zaid tunachezeshwa ngoma
 
Back
Top Bottom