Uzalendo uko wapi TBC1?

Uzalendo uko wapi TBC1?

Kubingwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2010
Posts
505
Reaction score
69
leo nilitegemea tbc1 wangeonyesha mechi kati ya gabon na tz,lakini wameweka kipindi tofauti.Basi ngoja nicheki mechi kati ya kenya na shelisheli live.SAWASAWA!
 
Wewe ndo cyo mzalendo,maana ungekuwa mzalendo ungekwenda Taifa.
 
Wenze2 wakenya wanaönesha ya kwao na sycheles. Why tanzania? Mi naona Tanganyika irudi ndo wa2 watakua wazalendo.
 
Back
Top Bottom