Uzalendo wa Azam TV mechi ya leo ni mfano!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Kama mliangalia kwa umakini Azam TV walijiepusha sana na picha ambazo zingeweza kutumika kama ushahidi wa matukio muhimu ikiwemo yule mganga feki na paka!

Huu ndio uzalendo sasa! Mambo ya nchi hayana fair play ni nchi kwanza!

HONGERA SANA AZAM TV!
 
Tukiachana na uzalendo wa azam kuna upuuzi mwingi umefanyika leo, baadhi ya mageti hayakufunguliwa na kusababisha msongamano usio na maana kiasi cha watu wengi kuingia mpira umeshaanza wakati hili swala lilishajadiliwa kipindi cha nyuma.

Matukio ya mashabiki kuingia uwanjani au yule mganga feki ni wazi hayaisaidii Simba sanasana kuna adhabu inakuja na pia kuna uwezekano hata tukacheza bila mashabiki lakini pamoja na hao mashabiki walinzi hawakuwa makini muda mwingi walikuwa wanaangalia mpira badala ya kufanya kilichowapeleka.
 
Walichonifurahisha ni kuwa tulipofunga goli la nne, wakaweka ile picha ya WAR IN DAR! Aisee,the feeling I had ni kama nimepitishwa kwenye geti la kuingia Mbinguni.
Lilikuwa goli la 3
Kiukweli Ilitokea Bonge la Shangwe
 
Tukiachana na uzalendo wa azam kuna upuuzi mwingi umefanyika leo, baadhi ya mageti hayakufunguliwa na kusababisha msongamano usio na maana kiasi cha watu wengi kuingia mpira umeshaanza wakati hili swala lilishajadiliwa kipindi cha nyuma.
Tutilee Ujuaji wako
Marangapi Watu wanaingia Uwanjani
Pole sana
 
Tukiachana na uzalendo wa azam kuna upuuzi mwingi umefanyika leo, baadhi ya mageti hayakufunguliwa na kusababisha msongamano usio na maana kiasi cha watu wengi kuingia mpira umeshaanza wakati hili swala lilishajadiliwa kipindi cha nyuma...

We mpira umeujulia ukubwani nn!?

Mashabk kuingia uwanjani ni jambo la kawaida duniani kote!

Kwenye Kombe la Carabao msimu wa 2019/2020 nusu fainali kati ya Aston Villa vs Leceister, refa alipopuliza filimbi ya mwisho tu mashabk wa Villa karibu wote waliingia uwanjani kusherehekea ushindi ilhali bado wachezaji wa timu zote na refarii bado walikuwa hawajatoka uwanjani,

Ambapo ushindi huo ndipo waliingia fainali kucheza na Man City na Samatta akafunga goli kwa diving header

Ni vitu vya kawaida sana sana alimradi tu havileti madhara kwa wachezaji
 
Nimeanza kuangalia mpira mwaka 79 sijui hata kama ulikuwa umezaliwa najua namna madhara ya kuingia uwanjani kipindi hiki Simba imepata bahati ya kuruhusiwa watazamajikuingia

Sasa mkongwe kwenye soka inakuwaje upate shaka juu ya vituko vya mashabk!? Tena vituko visivyo umiza zaidi ya kugeuka kama sehemu ya comedy uwanjani?
 
Walichonifurahisha ni kuwa tulipofunga goli la nne, wakaweka ile picha ya WAR IN DAR! Aisee,the feeling I had ni kama nimepitishwa kwenye geti la kuingia Mbinguni.
Ilikuwa goli latatu mkuu tulilipuka kwa furaha
 
Walichonifurahisha ni kuwa tulipofunga goli la nne, wakaweka ile picha ya WAR IN DAR! Aisee,the feeling I had ni kama nimepitishwa kwenye geti la kuingia Mbinguni.
Hapana ni la tatu waliweka zile picha kwamba ni uhakika war in dar mission complete ata wangepata moja bado simba ilikua inakwenda na dakk zimeisha.
 
Walichonifurahisha ni kuwa tulipofunga goli la nne, wakaweka ile picha ya WAR IN DAR! Aisee,the feeling I had ni kama nimepitishwa kwenye geti la kuingia Mbinguni.
Sijui nani kaitengezeza ile bravo zake sana.
 
Jana ningekuwa na dem ningemtia hata mabao 7
 
Mchawi aliyeleta paka mweusi ni shabiki wa Utopolo alilipwa kuja kuiharibia Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…