N NEWSINKP Member Joined Sep 26, 2016 Posts 77 Reaction score 92 Jul 21, 2021 #1 Wasalaam, Kama kweli wabunge wetu wameguswa na maumivu ya hizi tozo wananchi wao tunazolalamikia, nashauri wajitolee kurudi bungeni Kwa zarura bila malipo wakat ammend hii sheria. Ushauri tuu ili tuone kama walikusudia ama LA.
Wasalaam, Kama kweli wabunge wetu wameguswa na maumivu ya hizi tozo wananchi wao tunazolalamikia, nashauri wajitolee kurudi bungeni Kwa zarura bila malipo wakat ammend hii sheria. Ushauri tuu ili tuone kama walikusudia ama LA.