Uzalo Special Thread

ITV wanaboa nao izo dakika 30 ata azitimii☹️
kaka jambazi naona neno limemgusa kweli ad akasahau kilicho mpeleka....ghabashe sasa kama alikua na haraka mbona alikua anapoteza mda hivyo kama mtu kuuliwa siangesha uliwa mapema tu.
 
Kwa hii ya leo Sina usemi zaidi ya kusema kwamba ayanda ana bahati..

Jambazi fala sana yaani
Nosi naona kambamba masta sasa sijui linaweza msamehe maana hili demu kichwa panzi demu gani nimepewa huyu?
 
ITV wanaboa nao izo dakika 30 ata azitimii[emoji3525]
kaka jambazi naona neno limemgusa kweli ad akasahau kilicho mpeleka....ghabashe sasa kama alikua na haraka mbona alikua anapoteza mda hivyo kama mtu kuuliwa siangesha uliwa mapema tu.
Hapana alisubiria muda sahihi kwake
Uoni alianza kwenda mbele,ndio kugongana na yule shoga mpk bastola ikaanguka
 
Kwa hii ya leo Sina usemi zaidi ya kusema kwamba ayanda ana bahati..

Jambazi fala sana yaani
Nosi naona kambamba masta sasa sijui linaweza msamehe maana hili demu kichwa panzi demu gani nimepewa huyu?
Zweli nae fala si angeendelea kukana tu
Hlf angempa maneno matamu na kumbana ukutani kwa makiss tele[emoji8]
Anaugwadu yule demu mwenyewe angekituliza
 
Kwa hii ya leo Sina usemi zaidi ya kusema kwamba ayanda ana bahati..

Jambazi fala sana yaani
Nosi naona kambamba masta sasa sijui linaweza msamehe maana hili demu kichwa panzi demu gani nimepewa huyu?
nakwambia anamsamehe labda tu master akose mistari ya kumlainisha😅
 
hivi mna nini lakini kuniombea mabaya haya namna hii?

We mbona pisi kali ila kile kizee kikuda kimekunasa husikii huoni mwana wa nyange wewe😁😁😁
🤣🤣naatuachi mpaka ukome
heeee nimependa nilipopendwa nadekezwa mie yanini nisumbuke sikomii na mzee wangu mie😍♥️
 
siku kakija kukufia ndio utakapouona moto wa captain wake yule,
Kwanza hakana hela kale kutwa kukimbizana na wevi,..

Bora mimi mke wangu kichwa maji ila atarudi tuu zweli kama akifungwa 😁😊😊😁
 
kufa hafii kafika kwa tabibu mwenyewe kazi na dawa...
sasa wewe jidanganye upoteze mdaa
 
Nimewahi kufuatilia marudio ya Uzalo nakuta Museven na mama Samiah wanahutubia ikulu.
Huyu mama Kila siku lazima aonekane kwenye Media.Kwa style yake hii haoni kwamba tutamchoka mapema?Mkapa alikuwa ana utaratibu wa kuhutubia Taifa mara Moja kwa mwezi,watu walikuwa wanaisubiri hiyo hotuba kwa hamu.
Mama punguza kuwa kwenye media Kuna siku utakuwa na jambo la maana là kutuambia na hautasikilizwa sababu tutakuwa tumekuzoea!
 
Hata Mi nilikuwa na huo mpango,hawajatoa kwahiyo hawataionyesha tena leo ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…