Uzalo Special Thread

Ya Richard yametimia jamaa ni litapeli
Xulu ataweza firisika aseeh
Anatoa pesa hovyo
Sasa mxo ataanza kuelewa vizuri maneno ya mzee wake biashara lazima iwe na unyama ndani..
Kamfirisi mzee wake pumbavu huyu

Akamaind pale nombu alipokuwa anamsifia ayanda sema ata mi ngemaind
 
mxo niliona kama kakurupuka sana naona lawama za mwanzoni zitaanza mrudia upya kutoka kwa xulu
nombuso kamkera kweli jamaa hapakua na sababu ya sifa zote hizo kwa ayanda aliboa kiukweli..
 
Top rated soapie of all time pale SA ni Generations: The legacy. Uzalo ndo tamthilia ya kwanza kuing'oa kileleni Generations. Kuna wakat huwa inapoa na tena kupanda kileleni.

Ni tamthilia Kali kuliko isidingo. Isidingo ratings zilishuka sana ndo maana ikatamatishwa. Mim nafuatilia Uzalo online kila siku so niko episodes za mbele.

Msikate tamaa, hii tamthilia nzuri sana
 
shukran kwa taarifa yako pendwa 👏
 
It's official sasa mxolisi na babake wamepigwaaaa
Lile jamaa Richard ni litapeli kama wananzengo mlivyohisi , limehamisha ofisi limekimbia.
Mxolisi sijui atamwambia nini baba yake, tatizo kiherehere chake kinaponza anajifanya anajua sana sasa dingi yake kafirisiwa, tena uku party kina ayanda wameshakula pesa, bado mama xulu mzee wa party bata.. Anafirisiwa mzee wetu..

Naona sasa ayanda kaona wivu kwa mxolisi kisa nombuso eti wakataka wapigane..!
Ayanda apunguze tamaa.. Ye si ana nkule?

Pastor naona sasa kinachomuumiza kwa xulu ni chuki. Sio bure
Anawakataza hata kina tobile na sma wasiende kuomba kazi kwa xulu.! Kawa fala
Kibaya zaidi kamkuta mkewe anaosha gari kwa xulu kamaind eti kwanini usingeend kwenye car wash zingine?
Sema uzuri xulu kampuuza pastor, 😁😁😁
 
Hatuchomoki hapa mdau mpaka mwisho wa reli..
 
Ni wazi sasa Mr xulu anakaribia kushtakiwa Maana sbu kashakamatwa na Uko tyr kutoa information zote kuhusu biashara ya xulu,
xulu Safari hii akichomoka ni maajabu inaonekana dhlomo hana utani
Mxolisi na ayanda kitawaka siku nyingine wataweza kuzipiga hawa,,
Sema nombuso pisi kali
 
ivi kwanini mxo anataka kulibeba jambo hili peke yake..? au ndio kuogopa msala kwa mzee?
pastor sasa anapoelekea ni kujenga uhasama wa wazi...yale sio mahubiri kabisa☹️☹️
 
ivi kwanini mxo anataka kulibeba jambo hili peke yake..? au ndio kuogopa msala kwa mzee?
pastor sasa anapoelekea ni kujenga uhasama wa wazi...yale sio mahubiri kabisa☹️☹️
Mxolisi ameamua aubebe uu msala kmya kmya Maana kumwambia ghabashe pesa yote ile imetapeliwa si Jambo dogo na ukizingatia ye ndo amemforce mzee wake wawekeze io pesa Daah Cjui itakuwaje
 
Wakuu pastor anavuka line sasa.. Mahubiri gani Yale yamejaa vijembe, na umbea namna ile plus kusagiana kunguni?
Dhlomo is on fire hii case mxolisi itabidi awe mkweli, kumwambiya mzee wake jau maana anajua alivyo mtata,
Dhlomo atamwambia xulu nadhani,

Pastor sasa anatoka nje ya mahubiri yake kabisa fala huyu.
Ayanda naona anamsagia kunguni mxo akose pisi nombuso
 
Mxolisi ameamua aubebe uu msala kmya kmya Maana kumwambia ghabashe pesa yote ile imetapeliwa si Jambo dogo na ukizingatia ye ndo amemforce mzee wake wawekeze io pesa Daah Cjui itakuwaje
Asiyeskia la mkuu?
Alipoambiwa na baba yake akajifanya anajua sana kisa elimu na kutaka kumuelekeza dingi yake biashara.
Hiyo dealership sijui nani angenunua magari hapo kwa mashu wengi kipato cha kawaida
 
ivi kwanini mxo anataka kulibeba jambo hili peke yake..? au ndio kuogopa msala kwa mzee?
pastor sasa anapoelekea ni kujenga uhasama wa wazi...yale sio mahubiri kabisa☹️☹️
Pastor anataka kuchangamsha movie

ijapo kuwa anatia huruma maana Ghabashe sio wakawaida ukijumlisha ametapeliwa 😁😁 pastor ajichunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…