mukuu wangu! hapo kwenye red hujasomeka!Kwanza kwann alijifungua kwa operation?kwa utaalamu zaidi anatakiwa akae at least 4 two yrs,ili ile scar ya kwenye uterus i heel vzur,and to avoid other complication!
mukuu wangu! hapo kwenye red hujasomeka!
mukuu wangu! hapo kwenye red hujasomeka!
Ishu ni kwamba mtoto alikaa vibaya asingeweza kutoka kwa njia ya kawaida.Binafsi ningeshauri msubiri afikishe mi angalau miaka miwili ndio mtafute mwingine.
Na kuhusu kuzaa kwa operation inategemea na kilichosababisha. . . kama ujauzito wake wa kwanza ulikua na complications amwone daktari kwa ushauri kabla ya kushika mwingine.