Kwanin tarehe za period kwa mwanamke huwa inabadika? Exp mie huwa naingia tarehe Tisa kila mwezi na ninapata ada yangu ndani yasiku tatu tu laini mwezi huu sijapat ada yang na sins dalili zozote za ujauzito ,he tatizo itakuwa ni nini? Msaada tafadhal