Uzazi: Naomba kueleweshwa kuhusu Ovulation (Kupevuka kwa yai) kwa mwanamke

Uzazi: Naomba kueleweshwa kuhusu Ovulation (Kupevuka kwa yai) kwa mwanamke

Sheck boy

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
22
Reaction score
2
Eti ovulation kwa mwanamke huwa inachukua muda wa siku ngapi? Na ukitaka kupata mtoto jinsia unayoitaka either msichana ulale nae siku gani na mvulana ulale nae siku gani? Na je ukilala nae pale anapotoka tu hedhi, kuna madhara yoyote?

Naomba kuelimishwa!
 
Kwa kawaida hedhi ni kula baada ya siku 28, sasa ovulation hutokea siku ya 13/14 ya mzunguko ya hedhi. kupanga mtoto kwa kuzingatia siku hiyo haipo.

Pia siku ya 9 - 18 ya mzunguko ndio mzuri kwa mwanamke kupata mimba.

Kujamiiana wakati mwanamke yupo katika siku zake sio vizuri na sio ustaatabu. Anaweza pata maumivu. Hakuna madhara makubwa ila ni kujielewa tu maana anatokwa na hedhi halafu mtu anakandamiza mashine sio vizuri...

Ni swala la kuzingatia tu utu wa mtu.
 
kwa kawaida hedhi ni kula baada ya siku 28, sasa ovulation hutokea siku ya 13/14 ya mzunguko ya hedhi.
kupanga mtoto kwa kuzingatia siku hiyo haipo.
pia siku ya 9 - 18 ya mzunguko ndio mzuri kwa mwanamke kupata mimba.
kijamiiana wakati mwanamke yupo katika siku zake sio vizuri na sio ustaatabu. Anaweza pata maumivu. Hakuna madhara makubwa ila ni kujielewa tu maana anatokwa na hedhi halafu mtu anakandamiza mashine sio vizuri.... ni swala la kuzingatia tu utu wa mtu.

oky nmekupata broo!
 
Back
Top Bottom