asante ila huwa naona tumbo linatutumka upandeupande na linafanya kama unavyosema. Na teke za mbavu!! Ifike siku nna ham ya kumuona!Yan hapo jiandae na uchungu siku c nyingi. kama akiwa anageuza kichwa utahisi kwa kuelekea chini sehemu mojawapo panakuwa pagumu saana.Na mimba ikiwa kubwa usingizi unakuwa wa shida sana kwa sababu kila sehemu unaona inauma uma tu.
mazoezi nnafanya ila mguu wa Julia umenibana najitahidi hivyo hivyo!!swala la usingizi ni jitahidi ufanye mazoezi ili uchoke sana mwili uhitaji kupumzika.. ha ha ha eti umebeba johncna pole mwaya . mwanaoatakuwa analala asubuhi na mchna halafu usiku ndiyo anacheza
ningejuaje kama mazoezi kwa Sana ndiyo suluhu???
pole mwaya natamani hicho kisehemu nikija kukifika cha kupigwa mateke ....mazoezi nnafanya ila mguu wa Julia umenibana najitahidi hivyo hivyo!!