labda mtoa mada hii ni debate motion... kwahiyo je unapinga au unakubali....
napinga :umekuwa tabu kivipi kwani ni nini kimebadilika hadi kufanya uwe tabu... na kama unamaanisha uchungu katika uzazi nadhani siku hizi kuna mpaka choice ya elective cesarean birth kwa wale wanoogopa kuzaa kwa kawaida (if thats was your point about uzazi)
Unless unamaanisha kama kizazi (fertility imepungua) then thats a different argument...