Uzazi

VECTOR

Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
44
Reaction score
4
Ni dawa gani huweza kurudisha uwezo wa mwanaume kumpatia mwanamke mimba?
 
Hamna dawa ya kuweza kurudisha uwezo wa kumimbisha mtu!
  • Unatakiwa uwe mwanaume rijali na hilo linadhihirishwa na uzalishaji wa mbegu zilizo imara na zakutosha.Ili kutengeza nguvu za kiume unatakiwa uwe na homoni ya testesterone na uwe umezaliwa na maumbile ya kiume yaliyokamikika.Kumbuka kuna watu wanatengeneza mbegu za kiume dhaifu ambazo hazina uwezo wa kumimbisha mtu!
  • Naomba nikuulize kipi kinachokufanya useme au uulize swali kama hilo?Je unajaribu kutafuta mtoto bila mafanikio?Umeambiwa na watu wa afya kuwa huna uwezo wa kumpa mtu mimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…