Uzee wako unataka uweje?

Ni sawa na nimefurahi

Ila ahadi hewa nehii

Hivi si uliniahidi utanizalia baby boy? Yuko wapi sasa na ma P2 yako kila siku

This time am not lying Babuu...

Count me in for real....

Amarula itahusika baada ya kushiba nyama pori πŸ˜…πŸ˜ŠπŸ˜Š.

Baby boy anaingia 2022 na kutoka 2023 andaa jina mapemaa....
Punguza dozi ya K Vant ili asiwe legelege πŸ˜„

Nataka jina la kilugha sio Junior..😁.

Time kuanzia saa 9 jioni hadi jogoo atapoacha kuwika...πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…