Uzee...

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
Nimiona ktk mji flani nilipoenda kuangalia Live band ilokuwa ukipiga zilipendwa...

Wazee, hasa wa kiume walikuwa wakicheza twist, wakiimba pamoja na wanamziki, wakifurahia haswaa.. walikuwa wakisindkizwa kucheza na totoz wareembo kabisa ktka cheza yao.

Binafsi niliona waliufurahia uzee wao.. wakwa wameshatimiza mengi maishani mwao.

JE..KAMA UKIFANIKIWA KUUONA UZEE..UNGEPENDA MAISHA YAKO YA UZEE YAWEJE?:thinking:?
 
Niwe na Rose kama bibi wa wajukuu zangu.:laugh::laugh::laugh::behindsofa:.
 
Niwe na Rose kama bibi wa wajukuu zangu.:laugh::laugh::laugh::behindsofa:.
ati?umesemaje nyau?
mi nimekwambia fanya ufanyalo uwe paka mweupe tu basiiiiiiiiii umenipata
mi uo weusi wako unantisha jaman
wengne wanataka mapesa+magari sjui maninin bt mi kwako nataka rangi tu yan only colour so plssssssssss mak t ili niwe bib wa wajukuu zako!!!!!!
so u mean m bibi material?
ilike t ma grandpaa mama anakusubiri !!!!!!!!
 
Kutulia na kuwasimulia wajukuu hadithi!
 

kwanza kabisa nahakikisha siko nchi yeyote nje ya Africa
(especially siko nje ya Tanzania )
tabia za kuwekwa kwenye Retirement or Rest home
sitapenda kabisa.....

kwa kweli labda na sisi tutakuwa tunasikilia kina
Ali Kiba, diamond n.k
kwani mpaka tufikishe hizo golden age
miziki yetu tunayosikiliza sasa itakuwa imepitwa na wakati...:smile:
 


Nimekusikia mama shaka ondoa ombi lako nalifanyia kazi nimeshaagiza mkorogo speciali kwa kazi hiyo nipe wiki moja tu nitakuwa paka mweupe.
 
Nimekusikia mama shaka ondoa ombi lako nalifanyia kazi nimeshaagiza mkorogo speciali kwa kazi hiyo nipe wiki moja tu nitakuwa paka mweupe.
asante mpz
u mume mwema
thax god i fnd u
kapake mkorogo uje kwangu tuanze KUJENGA KIOTA CHA WAJUKUU
..plsssss na usisahau kuuplun mkia uo ...upunguze kidog km inch 2 ivi ..mimkia mrefu sitak utakuwa autoshe kwenye shera siku ya harusi!!
 
hekima nyingi kama za mfalme Suleiman ....niwaone watoto wa wajukuu wangu na kucheza nao pamoja twist:music:
 
Mhh.. Hiyo ni sawa na tumbili kujisugua uso ili awe mweupe...:smile-big::smile-big:
 
Nimekusikia mama shaka ondoa ombi lako nalifanyia kazi nimeshaagiza mkorogo speciali kwa kazi hiyo nipe wiki moja tu nitakuwa paka mweupe.

PK nipe tenda ya kukupakaa chokaaa...unakomba mzigo!!:bowl::bowl:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…