KERO Uzembe katika kutoa Award Verification Number (AVN)

KERO Uzembe katika kutoa Award Verification Number (AVN)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wahitimu wengi wanalia na mfumo wa kupata AVN kupitia NACTVET ili kuwawezesha kuomba masomo katika elimu ya juu.

Wahitimu wengi wanatia huruma kukoseshwa fursa ya kusoma kwakukosa AVN na sababu kubwa ni wahusika kubweteka na kutoa majibu rahisi yasiyokuwa na chambe ya utatuzi wa tatizo.

Mamlaka zinazohusika zitambue kwamba mfumo bado haujaweza kutatua changamoto inaweza ni kwa maksudi au kwakuto kujua kutokana na kuajiri kwa upendeleo wataalamu wasio kidhi vigezo.

Ni rai yangu kwamba jambo hili litafutiwe ufumbuzi mapema kabla ya dirisha la udahiri halijafungwa.
 
Hujaeleza mfumo unashida gani au umeeleza lakini hujaeleweka mkuu
 
Back
Top Bottom