Nestory Semeni
Member
- Jul 8, 2024
- 24
- 47
Katika hali ya kawaida mtu mzembe huwajibishwa na zipo taratibu za uwajibishwaji - hakuna kuhurumiwa. Labda unaweza kupewa Onyo kali kama sehemu ya awali ya kuwajibishwa. kwa uzembe wako.Kuna uzembe na udhaifu na mara kwa mara ninekuwa nachanganya hivi vitu,
Uzembe kuufanya uonekane udhaifu na hivyo nibebwe au ile kuonewa huruma kwamba "ni udhaifu tu"
Lakini kiuhalisia ni uzembe mkubwa
uzembe sasa naona ni pale ninaweza kufanya kitu ili mambo yabadilike na bado sifanyi
Na udhaifu ni pale nafanya kila kitu lakini wapi,
Hivyo badala ya kutaka kutiwa moyo kwa sababu ni mzembe ila ambaye najiona ni mdhaifu,
Inatakiwa nikubali mimi ni mzembe na uzembe wangu kuanza kuutendea kazi
Mtu mzembe hafai kulelewa. Uzembe ni kosa kubwa linaloweza kugharimu Uhai wa watu wengi kwa pamoja. ref ajali barabarani.Na nisitafute kubebwa yani ile ya kusema usinifokee, usinitukane, yani kujipangia watu waishije na mimi mzembe
Sijui umekusudia nini hapo; lakini Jamii itajitahidi kukufunza ili usiendelee kubaki na uzembe wako. Ref. ule msemo "Asiyefunzwa na mama yake atafunzwa na Ulimwengu" e.g. dereva anagonga mtu simply kwa Uzembe wa kutoangalia traffic lights halafu anakimbia. Wakimkamata ; huwa lazima achezee kichapo kwanza ndo namna ya kumfunza.Ukweli tu ni kwamba "nitabaki na uzembe wangu" na hakutakuwepo wa kunisaidia.
Naunga mkono hoja.Udhaifu ni kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako ila uzembe jambo lipo ndani yako ila unafanya kwa undogo uzembe sio = udhaifu