Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mh Waziri Mkuu nashangaa sana kusikia ukilalama siku ya Mazingira duniani huko Dodoma na kutupia mpira wananchi eti wao ndio wapambane kudhibiti utililishaji wa maji ya sumu toka kwenye migodi. Hii ni ngumu sana.
Chanzo na tatizo ni January alipokuwa ofisi ya Makamu wa rais Mazingira. Hapa ndipo wenye migodi midogo walifanya yao. Na hata usimamizi ukawa wa hovyo.
Sasa hivi karibu maeneo mengi kanda ya Ziwa ni sumu tu. Migodi midogo inatirisha Cynide mpaka kwenye vyoo vya wananchi.
Kila wizara anayogusa husu jamaa anaharibu tu. Sasa unasukumizia mpira wananchi kivipi? Mwananchi atamdhibiti vipi mwenye mgodi?
January ni zigo la kifisadi mlilokaa nalo hapo wanaCCM.
👇
Mwananchi › kitaifa
Majaliwa ataka maji migodini yadhibitiwe - Mwananchi