TanzActive
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 367
- 73
Watakuja kamanda usihofu ushindi upo tu pale pale
Habari
Nimetoka kumuua kikwete kweny ballot box
Kulikuwepo mawakala wawili tu , CUF na CCM sijawaona wengine. Hii ni soo
Watakuja kamanda usihofu ushindi upo tu pale pale
Habari
Nimetoka kumuua kikwete kweny ballot box
Kulikuwepo mawakala wawili tu , CUF na CCM sijawaona wengine
hii ni soo
Tueleze bayana ni kituo gani, kata ipi ili tutendee kazi sasa hivi
Watakuja kamanda usihofu ushindi upo tu pale pale
KATA YA SINZA B SHULE YA MSINGI MASHUJAA JIMBO LA UBUNGO: KUNA KINA MAMA WA CCM WANAZUNGUKA KILA CHUMBA NA SI MAWAKALA,WANATOKA NA MAGARI YAO NA KURUDI,WENGINE WAMEPANGWA KUZUNGUKA MAJENGO YA SHULE: DIFENDG 4 ZIMEJAA ARMED FFU U NA GARI LA MAJI YA KUWASHA LINAPIGA VINGORA KUTISHA WANANCHI HUKU UTULIVU NI WA HALI YA JUU. Kila kijana ni vidole viwili,inatia moyo.
Ubovu wa Watanzania. "Watakuja tu"!!!!!! Waje lini. Mambo ya kujipa mahope ovyoovyo. Kama hawapo, hawapo tu. Tuache uzezeta kujipa moyo hata kwenye mambo ya kipuuzi. Kama huna cha kuchangia kaa kimya. Watu tunataka mabadiliko, hatutaki mambo ya kishenzi, majibu mepessi kwa maswali magumu. Upuuzi mtupu.