Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 481
Mkuu hata vituo vya mlimani primary school, hawakuwepo hadi mida ya mbili kasoro.. checkini pia, ila nilifurhaishwa kuona wanachuo weeeengi wamerudi kuja kutimiza haki yao ya kikatiba, pamoja na hujuma za kutofungua chuo!
du tukiandika vituo hivyo chichiemu watatuma wachakachuaji mara moja jamani.......
Naomba basi mtumieni Jabulani katika inbox yake yaani kumtumia kwa PM haraka sana! Hata mkinitumia wakuu naweza kuwasadia kiasi fulani . Asanteni
Ni kweli, watatuma wachakachuaji, hakuna kuweka orodha. Au tuweke orodha ya uongo????
Ni kweli ukituma humu siri inakuwa imetoka na CCM watavishughulikia vituo vyote visivyo na wakala wa CHADEMA.
Fanyeni kama mimi ambaye nimetuma taarifa hiyo kwenye simu ya John Mnyika.
Jabulani na Susuviri mna akili sana nyinyi nawashukuru sana kwa wazo lenu. Kama kuna yeyote ambaye anajua kituo cha kupigia kura ambacho hakuna wakala wa chadema atume jina la kituo na mahali kilipo ili hawa ndugu wawili waweke rekodi inayoeleweka ambayo tunaweza kuifuatilia baadaye. Mungu awajalie sana.
Hivi msimamizi wa kituo ana uwezo wa kuanzisha zoezi la kupiga kura bila ya kuwepo mawakala?
Kwa wale wanaohitaji kuongea moja kwa moja na watu wa Chadema wa simu wanaweza kumpigia:
Bwana Mbogo wa Makao Makuu
0683 179001
0714 776673
Asanteni
Jimbo la manispaa ya kinondoni , kata ya kijonyama, kituo Makubusho- A (Specifically A-4)wanakuja saa ngapi wakati muda wenyewe ndo huu
Nilikuwa wa kwanza kituoni hapo na walipoitwa na msimazi wa kituo wakajitambulisha nilikuwepo na nilisikia mazungumzo yaoNilijua hili litatokea tu . Kushindwa kusimika wagombea ubunge (hata uchwara) kwa kila jimbo ilikuwa dalili ya kwanza.
jimbo la manisapaa ya kinondonia , kata ya kijiyonyama , kituoa Makumbusho S/Msingi Makumbusho A-4Tueleze bayana ni kituo gani, kata ipi ili tutendee kazi sasa hivi
Hivi msimamizi wa kituo ana uwezo wa kuanzisha zoezi la kupiga kura bila ya kuwepo mawakala?