Hivi msimamizi wa kituo ana uwezo wa kuanzisha zoezi la kupiga kura bila ya kuwepo mawakala?
Anaweza kinacho takiwa kuwajulisha wapiga kura.Kituo moja nilikopigia kura msimamizi alipoona muda umefika na wasimamizi hawajafika aliendelea na zoezi kwa kuleta nje mabozi ya kuhifadhia kura na kutujulisha kuwa zoezi linaanza pamoja na kwamba mawakala hawajafika,na baada ya kama 25minutes mawakala wa chama fulani wakashushwa na daladala.
KATA YA SINZA B SHULE YA MSINGI MASHUJAA JIMBO LA UBUNGO: KUNA KINA MAMA WA CCM WANAZUNGUKA KILA CHUMBA NA SI MAWAKALA,WANATOKA NA MAGARI YAO NA KURUDI,WENGINE WAMEPANGWA KUZUNGUKA MAJENGO YA SHULE: DIFENDG 4 ZIMEJAA ARMED FFU U NA GARI LA MAJI YA KUWASHA LINAPIGA VINGORA KUTISHA WANANCHI HUKU UTULIVU NI WA HALI YA JUU.
Kila kijana ni vidole viwili, inatia moyo.
SWALA LA MAWAKALA ni SHIDA KIDOGO KWAKWELI!
i am dissappointed!